Job 22:13-14


13 aHivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’
Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo?

14 bMawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi
atembeapo juu ya anga la dunia.
Copyright information for SwhKC